bado sio official. na inawezekana hata asije.
city walikuwa wanatingisha kiberiti na walikuwa wanawaforce Arsenal na Agent wa sanchez kwa terms zao.
Man u kaingia kati kakubali hela anayotaka arsenal na atalipa mshahara wa sanchez anaoutaka.
tetesi za mchana huu pep, soriano na txiki wana kikao huwenda na wao wakaongeza dau na kumchukua.
maana pep na aguero haziendi na jesus ameumia wapo hali mbaya na wao.
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez amefikia makubaliano na Manchester United kwa ajili ya uhamisho wa Januari.
Sanchez atakuwa amemaliza mkataba wake Emirates Stadium ifikapo mwisho wa msimu huu na Arsenal wanaaminika kuwa tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile mwezi huu, hata kama ni kumuuza kwa washindani wao wa ligi.
Manchester City imekuwa timu inayopewa nafasi kwa muda mrefu kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 na kulikuwa na makubaliano baina yao majira ya joto kabla ya Arsenal kugeuza kibao, lakini United wameibuka kuwa mstari wa mbele kwa sasa.
Taarifa nyingi kwenye Twitter zimedai kuwa mchakato huo umeshakamilika, United wakita tayari kumlipa Sanchez £350,000 kwa wiki pamoja na adau ya uhamisho ya £30m.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger amebainisha kuwa mustakabaliwa Sanchez utafahamika ndani ya saa 48, ingawa hakuna tamko rasmi kutoka kwa klabu yoyote baina ya hizo mbili.
Sanchez alijiunga na Arsenal 2014 na amefunga mabao 80 katika mechi 165 kwa klabu hiyo.
Hiyo ni parody, lukaku ye anatumia romelu.rukaku10
timu kiba....Wewe timu gani kwanza?
Onesha ya kwako.hayo nayo ni makombe....
ukitaka kujua ukubwa wa kombe, angalia timu ulizokutana nazo hadi fainali...Onesha ya kwako.
haha we jamaa bana huu ugomvi umeuwezaThanks for knowing who you are.
Utasubiri sana unadhani sisi ni kama nyie arsenane nenda kwenye jukwaa lakostoke piga hili gari bovu na bibi yao mourinho....
Tuliza hiyo bk ya lukaku...Thanks for knowing who you are.
Dua ya kuk...stoke piga hili gari bovu na bibi yao mourinho....
Wewe mzuri unashika nafasi ya ngapi!?stoke piga hili gari bovu na bibi yao mourinho....