Manchester United (Red Devils) | Special Thread


I cant believe what you are saying. I cant believe if you are really a football fan. You are ruling out fans? Kweli hujui football ndugu yangu, hujui effect ya fans kweli?

Old Trafford ticket Sales, ambazo wananua FANS sio GLAZER, tutizame cheapest season ticket ambayo ina cost 798 Pound, multiply 70,000 (achie hizo tickets wanazouziwa away teams, also Old trafford kila match ni 99% full kama sikosei) inatupa total ya 55,860,000 pounds in one footbal year, Pogba shirts, ambazo wamenunua FANS sio Glazer family, ime amount to 190m pounds in just first week.

Heh!! Hebu vutia picha, leo all MU FANS wagome for the whole season kwenda uwanjani, wagome kununua hizo shirt sales, tuone kama they will be the same....

Nzi you shoudl doubt yourself na sio others, if you think fans dont play an important role in MU club. Duh! yaani ndio unajio wewe football fan kisha unasema fans hawana haki ya kuhoji au mie sichangii ata shilingi moja, unatambua kama kuna MEMBERSHIP CARD? zinatolewa bure hizi?
 
Unazungumzia best defence in EPL and second best strike force in EPL.
Nipende kuzungumzia zaidi ktk aina ya uchezaji ya mou. Kwamba anasifika sana kwa kutengeneza kuta ngumu na kiungo kigumu sana, ila ukiangalia Man U inacheza sana defensive game hasa inapokuwa na big fish wenzake lakini bado timu pinzani zimekuwa zikitengeneza nafasi nyingi na kutomalizia vema. Hii inamaanisha endapo atakutana na timu yenye high quality players ni rahisi kutengeneza nafasi na kuzitumia pia. Ni tofauti na defence zake nyingi alizotengeneza kipindi cha nyuma
 
Hahahaaa kisingizio tu. Sio ushabiki huo bali uoga na kuikana timu ikiwa kwenye wakati mgumu. Man u sio nyanya kihivyo mpaka ipokee vipigo mfululizo kama arsenal au liver
Inabidi kuanzia leo, nitabiri Manchester United kufungwa, ili washinde. Maana naona utabiri wangu wa leo unakaribia kugeuka, sawa na ilivyogeuka ule niliotabiri Manchester United kumfunga Manchester City.
 
Manchester United hold a comfortable lead over the Baggies at the Hawthorns, after goals from Romelu Lukaku and Jesse Lingard. The visitors have dominated proceedings here, forcing the Baggies to sit deep in their half, which has seen the hosts struggle to create much themselves in attack and they have a lot to do if they are to get anything from this game.
 
Hahahaaa kisingizio tu. Sio ushabiki huo bali uoga na kuikana timu ikiwa kwenye wakati mgumu. Man u sio nyanya kihivyo mpaka ipokee vipigo mfululizo kama arsenal au liver
Usinilishe maneno.
 
Naomba nipe mfano wa quality teams tulizocheza nazo zikatengeneza nafasi nyingi na idadi. Mfano Man city,Chelsea,Tottenham na Arsenal.

Arsenal watu wengi wanazungumzia nafasi 33 lakini kiutaalam Arsenal walitengeneza CLEAR CHANCES NNE TU, moja ikazaa goli tatu De Gea being De Gea the rest were shots u expect a decent keeper to save.
 
NOTHING FOR DAVE TO SAVE
It's been a quiet first half to say the least for De Gea in between the sticks for the Reds, as the Spaniard is halfway to an 11th Premier League clean sheet of the season.
 
Mkuu umepoteza muda kuelezea sana wewe mwambie tu football team ni muungano wa vitu vitatu(wachezaji,makocha na mashabiki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…