Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Paul Pogba na Zlatan Ibrahimovic wameripotiwa kuwa mbioni kurejea kwenye kikosi cha Manchester United watakapoikaribisha Newcastle United Jumamosi jioni.
Usajili wa rekodi wa klabu, Pgba alicheza mechi nne tu ligi Kuu Uingereza kwenye kikosi cha United kabla ya kulazimka kuuguza majeraha ya misuli mwezi Septemba, wakati Ibrahimovic amekuwa nje kuwa muda mrefu tangu alipopata jeraha la kano ya goti msimu uliopita
 
United chini ya meneja Jose Mourinho ilidaiwa kuwa mechi dhidi ya Magpies ingekuwa mapema sana kwa Pogba kurejea lakini kwa mujibu wa The Sun, Mfaransa huyo amekuwa na maendeleo mazuri kuliko ilivyodhaniwa na sasa amerudi kazini.
Gazeti hilo limedai kuwa Ibrahimovic pia, ambaye alitarajiwa kuwa nje hadi Krismasi, amekuwa na maendeleo ya haraka na anaweza kuanzia benchi wikiendi hii.
 
Baada ya mwanzo mzuri msimu huu, United wamepata alama nne kutoka kwenye mechi zao nne za mwisho Ligi ya Uingereza na sasa wapo nyuma ya vinara Manchester City kwa pengo la pointi nane kwenye msimamo wa ligi.
 
De Gea: "I think that the players who leave Spain are not paid as much attention as those who stay in Spain. And people tend to forget about us a little. The English culture cares for and loves its players a lot." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Keep it up man, sio yule Rubamsahsigrbdnjshirwa anatuletea mapicha picha tu ya screen shot bila habari
 
MOURINHO AJIPANGA KUMSAJILI LUIZ


Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anajipanga kufanya uhamisho wa kushtukiza kumsajili beki wa kati wa Chelsea David Luiz, kwa mujibu wa Express .
Bosi huyo wa zamani wa Chelsea anaendelea kufuatilia maendeleo ya Mbrazili huyo baada ya kuachwa kwenye kikosi kilichocheza dhidi ya Man United wiki mbili zilizopita.
 
Numbisa hiz qhabar za udaqu. Luiz haondoqi
 
Manchester United want Jose Mourinho to extend his stay at Old Trafford. They plan to open contract talks in the New Year, with a lucrative extension on the table to put off any chances of moving to PSG. [Mirror] [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…