Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
3 tayari, kwani liva kunatimu ya ushindani? Niupuuzi tu wa morinho ndo umetuharibiaLiverpool ameshalambwa 2-0 ngoja niende Instagram kwa profesa J nikatapike maana siku hizi anaongea sana Vs Manchester United
Umeishiwa hoja wewe bora ukalale umeze na panadol uuguze maumivu
Man u hawana lolote kazi kuchonga tu mpira hakuna na msimu huu lazima warudi nafasi yao walioizoea ya sita
Ngoja baada ya gemu mbili zinazokuja mtaona wenyewe
Kwisha habari yenu
Lipo ila kutwa wanashinda uku jukwaa pendwa.Apambane na hali yake... Hv Liver wana jukwaa Lao?
Ni ukweli usiopingika na ukweli ambao mashabiki wengi wa Man Utd hawataki kuukubali na mtu akiusema ukweli huo huishia kuambiwa hajui mpira....utaambiwa shabiki feki wa Man utd.
Mimi ni shabiki wa Man Utd na ni shabiki mzuri na ninaipenda Man Utd Kindakindaki.Tangu kuondoka kwa Fergie Man Utd tumekuwa tunahangaika na timu yetu hasa kwa makocha.Baada ya Fergie alikuja Moyes akatimuliwa akaja Van Gal akaondoka akaletwa Mourinho.
Katika hao makocha wote afadhali hata Moyes nilikuwa na matumaini kuliko wengine lalini wengi hawakumpenda.Sasa tunae Mourinho na tangu zinaanza fununu kuwa atakuja Man utd nilikuwa napinga kwasababu si kocha mwenye uwezo wa kufundisha Timu kubwa ya man Utd.Lakini wengi walimkubali lkn yanayoendelea ni ushahidi tosha wa uwezo wa Mourinho.
Hebi niambie unatumia pesa nyingi kumsajiri Lindelof,unatumia pesa nyingi kumsajiri Lukaku halafu unamtegemea mchezaji kama Fellain, Smalling, eti wakusaidie uje uchukue ubingwa mbele ya Man City ambao hakik wamekamilika kila idara na kocha wao ni bora kabisa.
Hivi wachezaji kama Aguero,Gabriel Jesus, Otamendi unaweza kuwananisha na nani pale United?Ukiangalia mchezaji mmoja mmoja ni wachezaji wachache sana ambao wanafaa kuendelea kuichezea Man Utd.De Gea,Rashford,Valencia, hawa afadhali wanastahili kuwepo pale.
Tukirudi kwenye mechi kadhaa tulizocheza EPL na champions league utaona ni jinsi gani timu ilikuwa ina strugle na hata katika mechi tulizoshinda au kutoa sare tulibahatisha na si kwakuwa tuna timu nzuri.Wapinzani wetu wanaposema tunashinda mechi zile tunazocheza na timu ndogo hawakosei ila Man Utd fans hatupendi kuusikia ukweli huu nchungu.Tunapoambiwa timu yetu si nzuri tunatoa maneno yote ya kejeli na kusahau huo ndiyo ukweli.Ukweli utakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.
Katika timu kubwa ambayo tumecheza nayo ni Liverpool peke yake ambayo tulipaki basi tukaambulia sare.wikiend ijayo tunacheza na spurs ambao kiukweli ni wazuri kushinda hata sisi naamni tukijitahidi sana tutapata sare hofu yangu ni pale tutakapokuta na noisy neighbours Man city....mkono utatuhusu.Sahau kuhusu majeruhi tulionao Man utd haina kikosi cha kujivunia cheke kukupa matumaini kila ichezapo bali tunaenda kwa bahati tu.
Mwisho niseme kwa timu tuliyonayo na kocha tuliyenaye kuchukua ubingwa ni kwa neema tu za Alah na wala si kwasababu tuna timu nzuri kushinda Man city chlesea au Liverpool.
GGMU
United inamzidi City uwezo kwenye ulinzi?Mkuu naomba ufafanuzi kidogo hapoKaka punguza hisia kwenye ushabiki...... unajua kwanini Lukaku amenunuliwa na kwa bei hiyo?, unajua kwanini strikers wanakuja EPL huwa wanapata shida msimu wa kwanza?
City anazidiwa uwezo kwenye ulinzi na Utd, ila uwezo mkubwa wa city upo kwenye middle ambao wengi ni creative kwahiyo wana attack sana na wapo clinical.
Utd haina viungo creative timu yetu ilikua imemzunguka Pogba na pia Matic aliletwa kumsaidia Pogba ili tuwe tuna attack...... ndio maana 4g ilitawala.
Fanya utafiti kidogo nikitulia ntakuja kukupa darasa kwa sasa nipo kwenye simu.
Umeongea point mkuu watu kama nyie mnaojielewa mpo wachache sana.Ni ukweli usiopingika na ukweli ambao mashabiki wengi wa Man Utd hawataki kuukubali na mtu akiusema ukweli huo huishia kuambiwa hajui mpira....utaambiwa shabiki feki wa Man utd.
Mimi ni shabiki wa Man Utd na ni shabiki mzuri na ninaipenda Man Utd Kindakindaki.Tangu kuondoka kwa Fergie Man Utd tumekuwa tunahangaika na timu yetu hasa kwa makocha.Baada ya Fergie alikuja Moyes akatimuliwa akaja Van Gal akaondoka akaletwa Mourinho.
Katika hao makocha wote afadhali hata Moyes nilikuwa na matumaini kuliko wengine lalini wengi hawakumpenda.Sasa tunae Mourinho na tangu zinaanza fununu kuwa atakuja Man utd nilikuwa napinga kwasababu si kocha mwenye uwezo wa kufundisha Timu kubwa ya man Utd.Lakini wengi walimkubali lkn yanayoendelea ni ushahidi tosha wa uwezo wa Mourinho.
Hebi niambie unatumia pesa nyingi kumsajiri Lindelof,unatumia pesa nyingi kumsajiri Lukaku halafu unamtegemea mchezaji kama Fellain, Smalling, eti wakusaidie uje uchukue ubingwa mbele ya Man City ambao hakik wamekamilika kila idara na kocha wao ni bora kabisa.
Hivi wachezaji kama Aguero,Gabriel Jesus, Otamendi unaweza kuwananisha na nani pale United?Ukiangalia mchezaji mmoja mmoja ni wachezaji wachache sana ambao wanafaa kuendelea kuichezea Man Utd.De Gea,Rashford,Valencia, hawa afadhali wanastahili kuwepo pale.
Tukirudi kwenye mechi kadhaa tulizocheza EPL na champions league utaona ni jinsi gani timu ilikuwa ina strugle na hata katika mechi tulizoshinda au kutoa sare tulibahatisha na si kwakuwa tuna timu nzuri.Wapinzani wetu wanaposema tunashinda mechi zile tunazocheza na timu ndogo hawakosei ila Man Utd fans hatupendi kuusikia ukweli huu nchungu.Tunapoambiwa timu yetu si nzuri tunatoa maneno yote ya kejeli na kusahau huo ndiyo ukweli.Ukweli utakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.
Katika timu kubwa ambayo tumecheza nayo ni Liverpool peke yake ambayo tulipaki basi tukaambulia sare.wikiend ijayo tunacheza na spurs ambao kiukweli ni wazuri kushinda hata sisi naamni tukijitahidi sana tutapata sare hofu yangu ni pale tutakapokuta na noisy neighbours Man city....mkono utatuhusu.Sahau kuhusu majeruhi tulionao Man utd haina kikosi cha kujivunia cheke kukupa matumaini kila ichezapo bali tunaenda kwa bahati tu.
Mwisho niseme kwa timu tuliyonayo na kocha tuliyenaye kuchukua ubingwa ni kwa neema tu za Alah na wala si kwasababu tuna timu nzuri kushinda Man city chlesea au Liverpool.
GGMU
Victor anamsindikiza mtu mpaka anatupia badala amchape kiatu hata akipewa kadi watu watajipanga..

Ukimsoma vizuri, anamtaka Moyes.Unataka nani aje kufundisha?