Fellaini Fellaini Fellaini Fellaini Fellainiiiiiiii..... leo tunapigwa hapa
Lete stats to back up ur claim.Man U bila Pogba Hamna cha maana mnachoweza kufanya.
Kivipi?Madhara ya Herrera kukaa benchi yameonakana leo
Kabisa kiongozi...Team Liverpool. Klopp anawapunguza nguvu Leo. Chelsea turudi kwenye namba yetu.
You will never walk alone.
mwambie mourinho acheze mpira aache uoga,ya nini kuviziana?klopp hana shidaHawa Liverpool mbona wabovu tu kuna sababu gani ya kujihami?!
amepotea, pasi kama tatu amepoteza, anakawia kufika kwenye mpira hasa anapofanya tackling!Kivipi?
Sport Klub1, sky sports mixMobdro nichanel gani inaweka mambo wazee
Set up ya Mou ndio inasababisha hayo yote.amepotea, pasi kama tatu amepoteza, anakawia kufika kwenye mpira hasa anapofanya tackling!
Kujilinda ndio asili ya Mourinho labda kama ww ni mgeni kwa hilo hata asajili world class player 7 lakini hatoacha kujilinda kiufupi ana asili ya uoga.Huwa sipendi mfumo huu wa kulinda ujinga...hujafunga goli sasa unalinda nini...just ujinga kuwapa opponent moroli ya kucheza. Huu ushenzi aliufanya antonio conte.
Nahisi Mou pia...anamuaminisha Klopp anakuja kulinda...naaamini kipindi cha pili haji kulinda tena.
Labda anasubiri dk za 60 hivi...mwambie mourinho acheze mpira aache uoga,ya nini kuviziana?klopp hana shida