Sawa hakijiamini kimepataje ptn 19 na goli 19? huyo tote aliye imara na anayejiamin kwann ana ptn chache wakati yuko imara? Ko ww una aamin kikosi chako cha man cty ndo kiko imara zaid kuliko Man United?
Update:
Fellain kaumia kwenye mchezo wake wa Timu yake ya Taifa na huenda akaukosa mchezo wake na liverpool tusubiri update rasmi toka kwa timu tuone atakaa nje kwa muda gani