Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
mazee leo najua mliomba tushinde ili muongoze lakini hatukufanikiwa. Tunashukuru sana kwa maombi yenu..
Kusema tu ukweli man city wanakipiga sana ..kwa kasi ya leo itabidi timu zijipange vya kutosha. Enewei asante sana mkuu ..leo nmepigwa za usoMkuu hapana mm sikutaka mshinde nilihitaj mtoe droo tu mana mngeshinda mngetupa shida sana siku hizi na nyie mnaongea sana sasa kazi tuliyobakiza ni kuwapa faraja tu poleni sana pia mlikutana timu kubwa nae yupo ktk mbio za ubingwa jipangeni kwa crystal palace gemu ijayo.
M Kuu bonny,Updates on Fellaini 30/09/2017
Fellaini Stats this Season
Substution Against Westham Man Utd won 4-0
Substution Against Swansea Man Utd won 4-0
Substution Against Leceister Man Utd won 2-0
Not Played Against Stoke Man Utd Draw 2-2 (Concede 2 Goal)
Substution Against Basel Man Utd won 3-0
Started Against Everton Man Utd won 4-0
Not Played Against Burton Man Utd won 4-1 (Concede 1 Goal)
Started Against Southampton Man Utd Won 1-0
Not Started Against CSKA Moscow Utd Won 4-1 (Concede 1 Goal)
Started Against Crystal Palace Man Utd Won 4-0 (ofcourse he scored two goals
Ukiona man city anaifunga hadi Chelsea ujue msimu huu yuko siriyaz si kitoto ...maana sio kwa mpira ulee walocheza. Utafikiri tulikuwa etihad banaaHata mm toka msimu uanze leo ndo nimeona mpira wa hali ya juu toka kwa city naona mapinduzi epl.
Pole aisee, leo mmepigiwa mpira wa hela yote
Kusema tu ukweli man city wanakipiga sana ..kwa kasi ya leo itabidi timu zijipange vya kutosha. Enewei asante sana mkuu ..leo nmepigwa za uso
Morinho anawajua tu kwan si tuliwapiga kwenye preseason 2 bila..???Mkuu, wako vizuri lakini timu yetu inabadilika kutokana na mchezo, tutawamudu vizuri tu
Ukiona man city anaifunga hadi Chelsea ujue msimu huu yuko siriyaz si kitoto ...maana sio kwa mpira ulee walocheza. Utafikiri tulikuwa etihad banaa
Mfumo wa leo haukuwa wa ushindi kabisa ..ni ku defence tu ..kocha amezingua kimtindooHamna mkuu sema leo kocha wenu alizembea kwenye mbinu tu hao walihangaika kwa everton kumbuka tena hata kwa bournemouth mi nalia na sub zake tu
Mkuu ila hizi pichapicha zikizidi sana huwa zinakera sana aisee jaribu kuleta zile zenye umuhimu tu na sisi tutazifuatilia.
kwa jinsi man city wapo moto inabidi united na sisi tuwe sharp aisee yaani twende nao sawa hivihivi mpaka kieleweke..