Ni kweli mkuu, inabidi tuwalegeze mapema sana!Matchday vs crystal Palace..wamepoteza mechi zote..hawajafunga hata goli moja...TUSITEGEMEE MECHI RAHISI..Tuweke kikosi as if tunacheza na CHELSEA au ManCity..tusiwadharau hawa watoto..wakibaatisha goli moja wanaweza kupaki basi hadi dakika ya 90.ikawa ni aibu kwetu..! GGMU!! GGMU!!
Huenda Fellain na Valencia wakacheza mechi ya leo...inasemekana wameonekana kwenye hotel ya Lowry ambayo wachezaji wa United huitumia kwa mapumziko kabla ya game...