Musimu huu watakiriHaya ni mahaba.
Stats za big Fella mwaka huu sio za mchezoFela
Kama anajifuta jasho sawa ila kama analia kwa uchungu baada ya kufungwa huo utakuwa ni unafiki wa kiwango cha lami
Ha ha ha ha ndio imeshatokea nasali afikishe clean sheet 10 tu zinamtosha kwa msimu huuSiamini kama ingeweza kufika siku huyu mtu ikawa hivi
Wengi wanasahau ana miaka 19 tu. Katika umri huo mara nyingi mchezaji hata akiwa na kipaji huwa hana maamuzi sahihi. Anaweza kutaka kufunga sehemu ya kutoa pasi au akatoa pasi sehemu ya kufunga.Rashford ni mzuri akicheza kwenye namba yake ya stricker lakini akitokea pembeni kuna vitu anafanyaga ambavyo vinamfanya aonekane sio mzuri kama chenga nyingi mpaka anapoteza mipira na kusababisha kuanza kuitafuta tena lakini akitulia mbele hatari huyo mtu...
Mwendo wa 4G kazi kazi
Go [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]...

Mwenye habari za uhakika kuwa Mou anamuwinda Sanchez atufafanulie
Bora amfuatilie cavani ambaye dogo Neymar ametaka auzwe😀😀😀😀Mwenye habari za uhakika kuwa Mou anamuwinda Sanchez atufafanulie
Mkuu Cavani ni Straiker yani akija atakuwa anachuana na Lukaku, ilhali Sanchez atakipiga kama winger ikizingatiwa Mou alikuwa akihitaji winga ndio maana akawa anamsaka PerisicBora amfuatilie cavani ambaye dogo Neymar ametaka auzwe😀😀😀😀
Ila haka ka Neymar kana dharau sana, kanajiona kakubwa😀
Ed yukp vizuri, muhimu wakati tunapata faida kiuchimi na makombe muhimu pia tubebe hususan UCLKatika miaka ya hivi karibuni Manchester United wamekuwa wakihangaika kupata makombe makubwa haswa la Epl na Champions League lakini wamefanikiwa kushinda Europa League na FA siku za karibuni.
Pamoja na hayo yote lakini mashetani hao wekundu wamekuwa wakipata faida kubwa zinazotokana na masuala ya uwanjani lakini vile vile nje ya uwanja ikiwemo mauzo ya vitu mbali mbali ikiwemo jezi.
Mwaka jana klabu hiyo iliingiza mapato kiasi cha £513m wakitengeneza faida ya £68.9m lakini mwaka huu inaonekana faida hiyo na mapato yameongezeka hadi mapato kiasi cha £518.2m na faida ya £80.8m.
Pamoja na pesa kubwa ambayo United wanaitumia sokoni lakini inaonekana hali yao ya kiuchumi inazidi kupanda kupanda kila sehemu kuanzia pesa wanayoingiza uwanjani na hadi katika masuala ya matangazo.
Kuhusu upande wa mauzo Manchester United pesa wanayopata imeongezeka kutoka £268.0 waliyokuwa wakiipata mwaka jana hadi kufikia kiasi cha £275.2 kwa mwaka huu, huku katika masuala ya matangazo wakitoka £141.2m mwaka jana hadi £194.3m mwaka huu.
CEO wa Manchester United Ed Woodward ameoneshwa kufurahishwa na kinachoendelea klabu hiyo haswa kwa uwekezaji ambao wamekuwa wakiufanya katika kikosi chao cha sasa huku wakitarajia faida kubwa zaidi msimu huu.
Kama anajifuta jasho sawa ila kama analia kwa uchungu baada ya kufungwa huo utakuwa ni unafiki wa kiwango cha lami
Ed yukp vizuri, muhimu wakati tunapata faida kiuchimi na makombe muhimu pia tubebe hususan UCL