Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo nzuri, hawatapaki basi, watalazimika kushambulia, ndipo vijana wa Mou watakapopata mwanya wa kutupia 5 au 6.
 
Ni kweli kabisa game itakuwa ngumu ila naona itaamuliwa na uwezo binafsi wa wachezaj
 
everton wanacheza ovyo sana,hawana pace wala nini,wao ni kupaki tu basi...hawa inatakiwa tuwauwe mapema kabisa.. mourinho naomba amwanzishe fellaini in place of injured pogba,ila akianza na herrera tutegemee timu ambayo itakayo kuwa inacheza kama mbao fc..
 
Kuna tetesi kuwa leo Pale OT hakutakuwepo na Heroic welcome kwa mchezaji wa Zamani wa Club hiyo yaani Wayne Rooney.

Rooney bado anabaki mioyoni mwa mashabiki na wadau wote wa MUFC

Rooney anashikilia rekodi ya kuwa all time Goal Scorer kwenye Club ya manchester united baada ya kuichezea kwa miaka 13 kabla ya kurudi kwenye Club yake ya utotoni Everton.



Sasa wanasaikolojia wa soka wanadai kupay tribute yoyote kwa Rooney kuna athari kusituache salama.


Wengi wanahisi yatajirudia yale ya 2013 ya CR7 na Sir Furgie...

Sir Alex alitoa amri ya watangazaji wa uwanja kutambua uwepo wa CR7 na mashabiki wakashangilia kweli..

LENGO la furgie likiwa na kumpumbaza RC7 ajisikie kupendwa na yuko home ili kupunguza madhara yake...lakini baya zaidi CR7 ndiye aliyefunga goli la ushindi na kututoa kwenye mashindano ya EUFA champions..

Ili ndio lililowaumiza mashabiki na wadau wote wa MUFC..

Leo hawataki kurudia kosa...!

Ni tetesi tuu lakini.
 


Mkuu sio wa kuwabeza hawa hawaeleweki wametoa suluhu na city kwake
 
The Manchester United boss revealed he loves the “simple” outlook of England youngsters Marcus Rashford 19, and Jesse Lingard, who may be 24 but has a very young outlook.

Mourinho said: “When I look at Rashford and Lingard I still think they are 15.

"It’s the way they live, the way everything is simple for them.

"With Marcus, I just think he loves football.


Manchester United (Odds: To win 1/3, to draw 19/5, to lose 9/1)
“With Marcus, I just think he loves football”
Manchester United boss Jose Mourinho
“He loves to train, he loves to play football.

"I think everything is normal with him.

“He doesn’t appear to make anything too complex.

“That is something you sometimes see nowadays with some players.”
 
scottish premier league results
partic thistle (2) vs rangers (2)
liverpool (1) vs burnley (1)
aberdeen (1) vs kilmarnock (1)
hibernian (2) vs motherwell (2)
dundeee (3) vs st johnstone (2)
hamilton (1) vs hearts (2)
celtic (4) vs ross county (0)
 
Marcus Rashford ni habari ingine...

Last week i was watching one of the sports channel in Uk..

Rashford is a real hustler! Jamaa ana weka effort kama za CR7 , especial wakati wa training . He's very serious wth what he's doing..

Wakati wa likizo alikuwa anatrain mwenyewe...! He's a hardworker..
 
Hapana mkuu..Morinho amesema jamaa atakaribishwa kama Legend he is,...he deserves respect kabisa..cuz me ninavyoona ROONEY alitaka kustaafu akiwa ni mchezaji wa UTD but game time ndo iliyomuondoa(alikuwa hapati muda mwingi wa kucheza)..so hatakama akitufunga he still a legend of UTD..
GGMU!!! GGMU;!!!
 

Naona hata ukiangalia kocha anavyoelezea wanataka kasijiingize kwenye social netwek kamzunguka flan juz philip neville nae kamuongelea
 
Naona hata ukiangalia kocha anavyoelezea wanataka kasijiingize kwenye social netwek kamzunguka flan juz philip neville nae kamuongelea
JuziSteven Geradl alisema;

" i see a big future in him( Rashford) "
I am just proud of him he's English"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…