tunashinda tena tena kwa 4g yetu.Mara ya mwisho UNITED kuifunga STOKE nyumbani kwao ilikuwa ni ENZI ZA FERGUSON jmn..hii mechi ni ngumu sana BUT United ya sasa ni tofauti kbs na ya misimu miwili/mitatu iliyopita so i hope WE SHALL MAKE IT!!! GGMU!!! GGMU!!!! GGMU!!!!
Ugiligili
Huyo ni master in economyKwa ujumla Ed ni mzur sana...kwenye usajili kuna hela amabzo bodi huzipitisha , ss Ed anaponunua ni lazima azingatie kiwango alichopewa...ujue hela huwa zinaweza kuingia nyingi na kiulaini tu ila kutoka huwa n kazi pia.
Pia huwa kuna sera za club za ununuaji , sio tu kwasbabu unahela unakua unatoatoa.
Kwenye mkataba wa Pereira wa mkopo kwenda Valencia nasikia kunakipengele cha kum recall from the loan anytime
Sio mbaya itakuwa 1-0.
Ikifika saa nane patachangamkaleo humu mbona kimya ni kuwa hatujiamini na gem la leo au?
kweli kabisa kupo kimya sana...leo humu mbona kimya ni kuwa hatujiamini na gem la leo au?
Yameshafika ma4, karudishiwa alivyompiga Asenane.Majirani washachezea viwili huko