Angalia Man u walivyohangaika na Morata kabla ya kumsaini Lukaku,na angalia Chelsea walivohangaika na Lukaku kabla ya kumsaini Morata. Ni kwamba Man U first target alikuwa Morata hapo na Lukaku alikuwepo miongoni mwa first target pia ila akiwa ni plan B ya kumkosa Alvaro. Na ndio mana hata Mou mwenyewe alipoulizwa kwa Mara ya kwanza kwa nn alionekana kumuhitaji sana Morata mwanzoni kisha ikashindikana, akasema 'hilo swali muulize Florentino Perez na board ya Real Madrid japo siyo vizuri kuongelea mipango ya klabu zingine'Ulijuaje kama morata ni first target...? Binafsi nilisoma kwa sky sports LUKAKU ndo alikua target namba moja.
Hii Team imenikera sana kwa kusapoti Mashoga ... Mimi ni shabiki kindakiNdaki ila pumbavu sana Manchester united kwa kusapoti LGBT shenzi kabisa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Angalia Man u walivyohangaika na Morata kabla ya kumsaini Lukaku,na angalia Chelsea walivohangaika na Lukaku kabla ya kumsaini Morata. Ni kwamba Man U first target alikuwa Morata hapo na Lukaku alikuwepo miongoni mwa first target pia ila akiwa ni plan B ya kumkosa Alvaro. Na ndio mana hata Mou mwenyewe alipoulizwa kwa Mara ya kwanza kwa nn alionekana kumuhitaji sana Morata mwanzoni kisha ikashindikana, akasema 'hilo swali muulize Florentino Perez na board ya Real Madrid japo siyo vizuri kuongelea mipango ya klabu zingine'
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,unadhani tungempata Morata Romelu tungemsajili? Ndo linapokuja suala la kwamba Alvaro alikuwa our first target. Na Perisic of course ni price imezngua pia ila mpaka Mou anaanza msimu bado alikuwa anaongelea suala la Wide player kwamba timu inamkosa winger ambaye ni aggressive na akasema ishu ya Perisic imeshindikana na akawapongeza Inter kwa kukaza kamba kwa mchezaji ambae wao inter walimuona ni muhimu sana.Morata na Perisic hawakusajiliwa kutokana na timu zao kuitaji kiasi kikubwa cha pesa.
Fifa, Uefa, na vyama vyote vya soka ulaya wanasupport hii campaign sio utd peke yake, Ulitegemea utd ijitoe ilhali ni timu ya uingereza ambapo hayo mambo ni ruhksa? Mimi pia binafsi sijapendezwa nayo ila napenda soka na naipenda utd,ngoja tusubiri hiyo kesho tuwapige tena hao stoke wiki iende kwa amani kidogo. GLORY GLORY MAN UTD.Hii Team imenikera sana kwa kusapoti Mashoga ... Mimi ni shabiki kindakiNdaki ila pumbavu sana Manchester united kwa kusapoti LGBT shenzi kabisa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Thanks GOD we dodged the bullet.United rejected the chance to sign Zidane, before he signed for Juventus in 1996, as the club didn't want to upset Cantona. [bbc]
Kwa ujumla Ed ni mzur sana...kwenye usajili kuna hela amabzo bodi huzipitisha , ss Ed anaponunua ni lazima azingatie kiwango alichopewa...ujue hela huwa zinaweza kuingia nyingi na kiulaini tu ila kutoka huwa n kazi pia.ED Woodward huwa namuona ni mzito kwenye transfer,na saa zingine husababisha tukose first targets. MF. Safari hii perisic,morata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mkataba wa Pereira wa mkopo kwenda Valencia nasikia kunakipengele cha kum recall from the loan anytimePress conference roundup
•Mourinho was disappointed with Pereira’s decision to go out on loan.
•He’s torn on the changes to the transfer window.
•He was happy with United’s transfer business this summer.
•Every member of the squad will have had a game before the end of the month as he plans to rotate.