Tuli bid kwa morata yes ila mimi kama mimi sijawahi kuwa fan wa morata wala lukaku, but angalau lukaku sio morata.
Morata said yes to Manchester na alifika mbali hadi kubadili rangi za nywele zake kuwa red alipojua anajiunga na Manchester, lakini Madrid ndio wakafanya figisu zao, in short Madrid ndio walizingua sio morata
Me mpk sshv bado najiuliza imekuwaje ANDREAS PEREIRA akapelewa Valencia kwa mkopo na LINGARD yupo kwny Kikosi cha kwanza cha united..bado nawaza na sipati jibu