Asilimia kubwa ya hizo rekodi zimewekwa na "Juda " ambaye now ndio kocha wa Manchester UnitedJust for the sake of EPL RECORDS.
Most wins in a season 30, Chelsea ( 2016–17 )
Most away wins in a season (19 games)
Chelsea (2004–05 )
Most consecutive home games undefeated: Chelsea (20 March 2004 – 26 October 2008)
Most goals scored in a season: 103, Chelsea ( 2009–10 )
Fewest goals conceded in a season: 15, Chelsea ( 2004–05 )
Yes, few more records won't damage your brain
2012 sio history? Man utd ilifika robo cl under Moyes I think...2014mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
2012 sio history? Man utd ilifika robo cl under Moyes I think...2014
We ni shabiki wa chelsea ee? If yes basi sina haja ya kushangaa.
Moyes alishatufikisha robo fainali
Slippy Gerald, you served football.
i mistaken purposely semi-final.
Haya man city kafika semi final 2016...yaani kupata ecl trophy moja unataka kujidai mbeba bendera wa EPL kwenye ECL! Kombe moja la CL tumewafanya njia nyinyi au umesahau?i mistaken purposely semi-final.
Haya man city kafika semi final 2016...yaani kupata ecl trophy moja unataka kujidai mbeba bendera wa EPL kwenye ECL! Kombe moja la CL tumewafanya njia nyinyi au umesahau?
Man city 2015/16 kafika Semi final. Najua utamalizia na Final, hapo hakuna msema ukweli mpenz wa Mungu.
Chamberlain is now saying last week we beat arsenal 4-0
Life is not fair
2015/16 alitolewa na Real Madridkiongozi, man city ipi imefika semi-final last year?????? ilimtoa nani kufika hapo?????
maybe nimesahau si unajua uzee ushapiga hodi.
Sijamfananisha ..Boga hawezi kufafana na barkley kutokana na nafasi wanazocheza na timu pia. .Unamfananisha Barkley na Boga?
Kumtaka mchezaj haimaanishi kuwa ni mzuri ...kuna sababu nyingine zaidi. ..basi conte kichaa kama alitaka kumsajili bakley wakat una boga
kiongozi, man city ipi imefika semi-final last year?????? ilimtoa nani kufika hapo?????
maybe nimesahau si unajua uzee ushapiga hodi.
Mbona unapenda sana kujisemea semea tu...sheria inasemaje kuhusu timu kuwa na wachezaji ambao wamekulia kiingereza ...?Kumtaka mchezaj haimaanishi kuwa ni mzuri ...kuna sababu nyingine zaidi. ..
Mfano barkley na ox walitakiwa ili kuongeza wachezaji wa kiingereza ..halafu hawakuwa mpngo wa kocha, ni mpango wa emenalo na bodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwaka ule Moyes na Manchester United yake anatolewa na Bayern Munchen haikuwa robo fainali?mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
Habari ambazo hazijathibitishwa rasmi zinasema Andreas Pereira yupo mbioni kujiunga na Valencia kwa mkopo.
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
Kumtaka mchezaj haimaanishi kuwa ni mzuri ...kuna sababu nyingine zaidi. ..
Mfano barkley na ox walitakiwa ili kuongeza wachezaji wa kiingereza ..halafu hawakuwa mpngo wa kocha, ni mpango wa emenalo na bodi
Sent using Jamii Forums mobile app