Hallow wadau, Nawasihi mkae ndani na msitoke nje.....Huko Nje arsenal wanajaribu kumsajili mtu yeyote watayekutana nae njiani. Leo ndo mwisho wa usajili. ♂♂♂
hawa vijana walinifanya nichukie kuingia skuli asubuhi kwa sababu nitakosa kuangalia mechi za academy kwenye man utd tv, nimejikuta nawakumbuka tu.
leo hii
danny drink water ni mchezaji wa chelsea
ryan shawcross ni mchezaji wa stoke city
simpson ni mchezaji wa leicester city