upo sahihi sana, naamini mourinho atazitumia mechi za ugenini kuwapa nafasi michael carrick, lingard, lindeloaf, perreira kwa sababu timu zote zikija nyumbani zitaacha point 3 kwenye upanga wa lukaku akishirikiana na wachinjaji watakatifu antonio martial, mata, pogba, mkhitaryan,bailly na rashford.
tuna wapinzani 3 tu msimu huu
real madrid + bayern munich + psg (barcelona)