Huyo mwana angekua demu kila siku angekua anapigwa mitungo tu, mambo ya msimu uliopita anayatafutiza hadi leo, huyu ndio alikua katega masikio anaomba tusicheze uefa ili aje aimbe ngonjera zake hapa, alipoona tumejihakikishia kucheza hakuposti mwezi mzima humu.hivi kwanini unaona raha sana kuvutana na mashabiki wenzako?yaani wewe asubui mchana jioni usiku mpaka kunakucha tena kazi kubishana na wenzako tu!!
Kumuona tu am relieved, I can't wait to see him again on the pitchRojo kaanza mazoezi mepesi mepesi ila itamchukua kama mwezi kurudi tena uwanjani
GGMUKurejea kwa majeruhi wa muda mrefu wa akina Rojo na Luke Shaw ni khabari njema kitimu kocha anakuwa na uwanja mpana wa kupumzisha wachezaji na kuwa tayari kushindana mataji yote manne
Hata huyo lukaku aling'ara everton ndo tukavutika nae, rooney mwenyew kachukuliwa kutoka everton, wapi niliandika naomba tusifike fainali, mi nilisema hatuwezi kuingia top 4, usinilishe maneno mjombaHuyo mwana angekua demu kila siku angekua anapigwa mitungo tu, mambo ya msimu uliopita anayatafutiza hadi leo, huyu ndio alikua katega masikio anaomba tusicheze uefa ili aje aimbe ngonjera zake hapa, alipoona tumejihakikishia kucheza hakuposti mwezi mzima humu.
Rooney alishajifia kitambo sana, Everton ndio saizi yake kwa sasa
Tatizo lako unapenda kufukunyua mambo yaliyopita zamani, mwana mliekua mnabishana nae ye yalishaisha kitambo ila wewe unakumbuka hadi leo,Hata huyo lukaku aling'ara everton ndo tukavutika nae, rooney mwenyew kachukuliwa kutoka everton, wapi niliandika naomba tusifike fainali, mi nilisema hatuwezi kuingia top 4, usinilishe maneno mjomba
Hata mimi huyo kijana ni jembe sana na anacheza nafasi nyingiKumuona tu am relieved, I can't wait to see him again on the pitch
Sent using Jamii Forums mobile app
Yea!
True, I personally love him! Don't tell me about Ronaldo or Messi things [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hata mimi huyo kijana ni jembe sana na anacheza nafasi nyingi
Tuko vizuri
The draw for this year's Champions League group stage
[emoji413] Thursday, August 24th
⏲️ 19:00 EAT
[emoji342] BT Sport 2 / live stream Uefa.com