daa sema na ww aisew....yani jamaa wanakimbi majamvi yao na kuja huku kutoa mapovu tu dahhhMkuu kwahiyo tatizo lako wewe ni waafrika sio?
Vipi kuhusu Chelsea ya kina Drogba iliyobeba CL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi kuwa tatizo langu ni waafrika au kuna mahali nimeandika hivyo??Mkuu kwahiyo tatizo lako wewe ni waafrika sio?
Vipi kuhusu Chelsea ya kina Drogba iliyobeba CL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unalijua vizuri timbwili la shetani???sasa niwaulize vipi ubingwa wa epl mtaubeba au ni nguvu ya soda nyinyi mashetani
Pole sana . Agiza maji ya uhai nitalipa utulize wivuManchester all of a sudden depends on a bunch of NIGGAZ from Afrika!!
Still mnawajua waafrika, asili haipotei, sijaona timu ya kuchukua ndoo ya EPL hapo! Ni kama ufaransa kutegemea 'waafrika' wao ktk timu ya taifa wachukue ndoo ya dunia.
Pumzi inakata vere suun!!
NOTE: Povu linaruhusiwa!!
Rashford anawachosha mabeki Martial anakuja kuwamalizia. Mouurinho anamchezo wa kumchosha ng'ombe halafu ndio anamchinja kiulainiii.rashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona pu.nga upo katika harakati za kusaka BwanaUnahisi kuwa tatizo langu ni waafrika au kuna mahali nimeandika hivyo??
Mwanzoni alipaniki sanaNipo. Utaniona sana msimu huu. One goal,one assist!
Mourinho anajua annachofanya. Kila mtu humu alikuwa anataka Pogba atoke, ila Mou kamuacha aoneshe ukomavu wake wa kutembea juu ya waya wa umeme and he didnt disappoint.
Msifuni kwa sasa ila baadae msimtukaneRashford anawachosha mabeki Martial anakuja kuwamalizia. Mouurinho anamchezo wa kumchosha ng'ombe halafu ndio anamchinja kiulainiii.
Ikifika december utasema tukutane april,nayo ikifika utasema mwakani!!! Ilimradi ujifariji tuHeheee.. Nawacheki tu mnavyo peana mioyo.tukutane Dec. Mark my words.
Timbwili la shetani kwa jina la Yesu huwa linapoa na kutuliaMkuu unalijua vizuri timbwili la shetani???
Sent from myself
Timbwili la shetani kwa jina la Yesu huwa linapoa na kutulia
Dawa ya jeuri unamminya mapema mkuuMapema bana wacha na wao washinde ili ligi iwe tamu
Unaita wachezaji Bunch of N-word halafu unauliza racism iko wapi? Au unavyosikia hilo neno kwenye hip hop music unafikiri ni neno zuri?Umekariri racism, iko wapi hapo au unadhani mimi ni caucasian??