Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Endelea kuota mkuu na mchana huu hiloooooo lionee
 
*Man Utd wanatoa dozi ya Malaria aina MSETO ambayo ni dozi ya vidonge Vinne (4) kwa siku, ambavyo inasemekana Team za premier League zina Malaria na MAN UTD ndio Suluhisho lao*

*Asanteh sana MAN UTD kwa upendo wao wa kuokoa maisha ya Uingereza*

*Tukutane Next Weekend*
 
21century...racism is real...don't hate players just hate the game...
Theatre of Dream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisikitiki kisa umeiongelea utd in a negative way coz your opinion don't matter na matokeo yanakuprove wrong. Kinachonisikitisha ni mindset yako juu ya watu weusi na waafrika kwa ujumla,Badala ya kujivunia weusi wenzako wanaishangaza dunia unaanza kuwakandia,chuki ni kitu kibaya sana,ila kwa taarifa yako kwenye hii anga ya sports and entertainment amna kitu ambacho mtu mweusi hajakifanya na mwenyewe nadhani walijua hilo. FT: Swansea 0- Man Utd 4.
 
Kama nilivyosema, povu ruksa!!
 
Mkuu kwahiyo tatizo lako wewe ni waafrika sio?

Vipi kuhusu Chelsea ya kina Drogba iliyobeba CL?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…