Last match hakua na furaha..Ila leo nmeona confidence imeongezeka na amefurahia goal lake.Mau inabidi awe kama zizou unapanga kikosi kutokana na output ya mchezaji (bale vs isco)..Martial sasa ni tishio kwa rashford.
Mipango ya kocha bado ni mizuri na sahihi Rashford akianza awakimbize kimbize mabeki alafu Martial anakuja wakiwa washachoka analeta matokeo na kubadili game planning.rashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
3 goal in 4 minutes...
Tusime dak moja ni ya kuanzisha mpira pale kati..
Kwanini hatupati wageni humu mkuu?haters
kabisa mkuu rashford anasubiri sana kwa martial..afu leo pia dogo rashford aliendeleza uchoyo wake..Last match hakua na furaha..Ila leo nmeona confidence imeongezeka na amefurahia goal lake.Mau inabidi awe kama zizou unapanga kikosi kutokana na output ya mchezaji (bale vs isco)..Martial sasa ni tishio kwa rashford.
Natamani kumuona akiwa anaanza sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu akifunga mmojaHii ishakuwa kama style yao ya kushangilia itabi itengenezewe emoji
Mipango ya kocha bado ni mizuri na sahihi Rashford akianza awakimbize kimbize mabeki alafu Martial anakuja wakiwa washachoka analeta matokeo na kubadili game planning.
Kwa kushukuru mara zote mipango/maamuzi ya kocha yamezaa matunda chanya kutuletea ushindi.
Mkuu wanga hao. Siku zote mwanga hutamba sana kabla ya kukamatwa ila akishikwa ndio utamuhurumia. Anakuwa mdogo kama sisimiziKwanini hatupati wageni humu mkuu?
Naonaga wanakuja kabla ya mechi kutabiri hatutoki,
Tukipoteza wanakujaga kwa fujo sana humu, ila tukiwabomoabomoa wanapita kwa upole!Mkuu wanga hao. Siku zote mwanga hutamba sana kabla ya kukamatwa ila akishikwa ndio utamuhurumia. Anakuwa mdogo kama sisimizi
Sent using Jamii Forums mobile app
rashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,huwa napenda sana tukianza kuwabomoabomoa watu tuwaharibu kabisa..Yawe matano matano kama vidole vya mkono..?