Mkuu.....una updates zozote kuhusu usajili wetu au tushafunga kabisa dirisha letu la usajili? kulikuwa na hawa tunawahitaji imekuwajeSalama Mkuu.
mi binafsi napenda sana aanze aisee...hebu angalia hyo formationa mkuunimetembelea forums mbalimbali..watu wengi wa united wanataka martial aanze leo,..aisee upangaji wa XI tu kwetu sasa hivi ni burudani kusubiria..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu.....una updates zozote kuhusu usajili wetu au tushafunga kabisa dirisha letu la usajili? kulikuwa na hawa tunawahitaji imekuwaje
1.Perisic
2. Serge Aurier
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usiopingika kuwa Kwenye Eneo la holding Midfield ( Kiungo Mkabaji) kwa sasa Eneo hilo limeshamilikishwa kwa Nemanja Matic, Nafasi ambayo alikuwa anacheza Herrera ...Wadau wenzangu wa manchester united, naombeni kufafanuliwa baadhi ya mambo kuhusu kiungo chetu.
1. Kwanini sasa hivi Herrera anashushwa thamani sana linapokuja suala la uchaguzi wa timu ya kuanza mechi? Nakumbuka mwaka jana amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kwa performance yake maridadi kabisa.
2. Naomba nijuzwe kama timu yetu imejengwa kumzunguka pogba. Sababu tunaingia msimu wa pili lakini kila mtu bado analia na performance ya pogba kutokuridhisha kama mchezaji ghali wa klabu. Lakini kuna miongoni mwetu bado tunaona pogba atafanya vema ikiwa atapata msaidizi sahihi kwenye eneo la kiungo, binafsi naona hii dhana sio kweli sababu alipokuwa anapangwa #10 bado hakuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
3. Kwanini tusijaribu kuongelea combo kati ya matic na Herrera tuone kama itakuwa nafuu zaidi ya matic na pogba. Hii ni vema zaidi kama timu itapendelea kujenga mashambulizi ya haraka haraka wakati huo ikimiliki mpira kwa pasi nyingi. Kama tunavyojua,pogba ni mchezaji wa jukwaa zaidi akitafuta kuprove watu wrong,anachelesha moves za mabao ingawa ni mzuri kwenye long balls.
Bado nina imani kubwa na Herrera kwenye kiungo chetu ingawa timu kwanza na mafanikio ya mchezaji baadaye. Asanteni wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi binafsi napenda sana aanze aisee...hebu angalia hyo formationa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
mi kwa upande wangu naungana naye kabisa kwa kweli.....kikosi chetu kina dimension nzuri sana na kila eneo lina watu wengi sana mpk wengne tulianza kuwatoa kwa mkopo mfn Mensah aliyeenda Crystal PalaceJana Mourinho alisema karidhika na kikosi chake na alitaka mchezaji mmoaja ambae ataweza kucheza kama Wingback. Kwahiyo akimpata uyo mchezaji atamchukua, akimkosa haitakua na shida kwasababu kikosi chake kimekamilika.
Full Mourinho transfer update
“Unless something happens that puts us in the market again. Obviously, my plans were four but I also told them to be cool, there is no pressure from me, do what you think is best for the club. We will be together again for another window in January and one next summer so there is no pressure at all from me. I am happy with the squad we have. I’m ready to go without a fourth signing.”
*Mourinho on Martial*: "I have faith in him. The player I was looking for allows me to play three at the back and play as a wing back"
mi kwa upande wangu naungana naye kabisa kwa kweli.....kikosi chetu kina dimension nzuri sana na kila eneo lina watu wengi sana mpk wengne tulianza kuwatoa kwa mkopo mfn Mensah aliyeenda Crystal Palace
Madogo wetu pia wapo vizuri kwenye academy yetu...hatuna budi kuwapa uzoefu kidogo kidg hasa kwenye League Cup, FA cupna hata sub za mwishoni mwishon mwa mechi.....
Hebu angalia msululu huo wa wakali wetu ambao wengne waling'aa kule kwenye US Tour mwezi wa sita na saba mwaka huu
1. D. HENDERSON
DOB: 12/03/1997 Position: Goalkeeper
1. I. MOUTHA-SEBTAOUI
DOB: 01/04/1999 Position: Goalkeeper
2. K. O'HARA
DOB: 22/04/1996 Position: Goalkeeper
4. J. KENYON
DOB: 02/01/1999 Position: Defender
5. D. MITCHELL
DOB: 11/01/1997 Position: Defender
M. OLOSUNDE
DOB: 07/03/1998 Position: Defender
R.S. WILLIAMS
DOB: 03/09/1998 Position: Defender
R. POOLE
DOB: 18/06/1998 Position: Defender
C. SCOTT
DOB: 02/09/1997 Position: Defender
T. WARREN
DOB: 05/10/1998 Position: Defender
T. SANG
DOB: 29/06/1999 Position: Defender
J. RILEY
DOB: 06/12/1996 Position: Defender
S. MCTOMINAY
DOB: 08/12/1996 Position: Midfielder
C. WHELAN
DOB: 24/09/1998 Position: Midfielder
T. KEHINDE
DOB: 18/06/1998 Position: Midfielder
D. BUFFONGE
DOB: 07/11/1998 Position: Midfielder
C. GRIBBIN
DOB: 18/12/1998 Position: Midfielder
D. REDMOND
DOB: 19/09/1996 Position: Midfielder
na wengne kibao ambao kama tunawapa exposure wanaweza kuwa nguzo kubwa ya Man Utd cku za mbeleni. Tusisahau kwmb Barcelona iliyotesa cku za hv karibuni kati ya 2005-2015 yote yalikuwa ni matunda ya La Masia ambayo ni academy inayoproduce wachezaji wengi sana wa Barcelona bila kusahau pia Real Madrid ambao wanawapa sana madogo exposure inayowajenga na kuwa wachezaji wakubwa bdae
Ni maoni yangu tu wadau
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh asante.Ilikua ni Soccer aid charity match,ilichezwa mwaka 2014.
Shida yetu kushinda mkuu sio kutoboa hatujawa scorpion aisee karibu tena jukwaa la furaha.Leo man utd hamtoboi huu ni utabiri wangu na lazima uheshimiwe.
Kile kile cha last weekend!safiiikikosi cha leo