Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Barcelona ni team nyepesi kabisa msimu huu...game ya jana nimeangalia dakika kumi na tano nikaamua nitunze mb zangu kwa kazi zingine


Barca kiungo ndo ishakufa kabisaaa...alafu yule kipa ni kama bamia tu...siku barca wakimtaka de gea nitawapigia chapuo wamsajili. Romero akienda barca anapata namba ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…