Dah. Game nzuri sana. Tumeusoma mchezo vizuri sana. Naimani mabadiliko yanakuja fasta. Japo naona Pogba, Lingard na Miki kidoooogo wanabidi kukaza. Maana Lukaku hapokei kabisa mipenyezo. Pogba hana concentration akiwa na mpira hasa eneo la hatari. Lingard mara nyingi naona anashindwa linda mpira. Anyway Mou can see more.