Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu mwaka ambao the worst Man U inashinda inaonyesha ni kwa jinsi gani Arsenal (Mtibwa), Chelsea (Moro United) walivyo hovyo kabisa..........hongereni sana mashetani wekundu.......
 
chicharito is a natural striker. Anajua position za kukakaa na hiyo speed aliyonayo mabeki watapata tabu akizoea ligi vizuri. We ngoja next season lazima atakuwa top scorer of the season.
 
Manchester United boss Sir Alex Ferguson says he is sure his team will win the Premier League title next Saturday after beating rivals Chelsea.



Knowing the players they won't muck it up," said Ferguson. "They will get a point there's no doubt about that.
"It's fantastic to be the most successful team in the country."
Winning the Premier League this season would be Ferguson's 12th title since he joined the club in 1986 from Aberdeen.


"The minute we won that first title in 1992 the door opened, and we've been involved in the first two all throughout that period - it's a fantastic achievement.
 
Kuna kijana anaitwa chicharitooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ni hatari sana
 

Oh my God!! Big up United...........

Jamani wale ndugu zangu wa Sir Matt Busby karibuni nina chupa hapa ya Old Wine branded "FerGiggs".......ni kushereheka tu hapa
 
Arsenal wao wameamua kujivua gamba

Tena gamba lenyewe walilojivua lina sumu bado,wamepigwa bao 3 kwa 1,kweli mzee wa uchumi anahitaji kubadili aina na mfumo wake wa uchezaji la sivyo timu itakuwa inashiriki tu mashindano lakini si kwa lengo la kushinda
 

Jembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kanyaga twende!!
 
No doubt ubingwa wa MAN UTD .....na wanastahili kwa hilo mana jana walicheza game nzuri sanaa
 


Duh kazi kweli kweli walisema Park kaletwa Man kuuza jezi hana lolote.
 


Huyu mtoto hana nidhamu kabisa ebu angalia alivyomgaragaza mzee mzima.
 


Utapiga kelele lakini kombe unajua litakwenda wapi !.
 


Hakuna cha luiz wala Drogba wanaume wanataka kombe lao.
 
Huu mwaka ambao the worst Man U inashinda inaonyesha ni kwa jinsi gani Arsenal (Mtibwa), Chelsea (Moro United) walivyo hovyo kabisa..........hongereni sana mashetani wekundu.......

Ogah, umenichekesha mkuu!..lol, what a red and beautiful monday!..no more blue mondays🙂)
 
Park Ji-sung was every where yesterday....ndio maana Sir Alex huwa anampanga katika mechi ngumu. Ubingwa huo Man U tutachukiwa sana mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…