Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii habari ya IBRA kutoongeza sina uhakika nayo ninahisi Agent anajenga mazingira ya kutunisha kitita ili mgao wake na IBRA kiongezeke


 
Man Utd kaachwa points 16 na Chelsea. Hizo ndizo points Man Utd kapoteza kwa kutoka sare michezo 8 nyumbani!
 

Kikosi cha Leo
Naona Jose anawapumuzisha Paul na makh kwa game ya Chelsea au ni kwa ufundi zaidi maana sijamuelewa kabisa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…