Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Mar 13, 2017 #61,341 everlenk said: Never give up!! Click to expand... Sure
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,817 Reaction score 129,705 Mar 13, 2017 #61,342 Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Hazard dived.
Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Hazard dived.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,343 Kulingana na refa hizo ni yellow mbili kwa hiyo red card lakini ilikuwa ni faulo ya yellow?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,257 Mar 13, 2017 #61,344 Refarii Michael Oliver ametuua mazima. Ngoja tupaki basi tu, GGMU.
The Bodmas JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 405 Reaction score 403 Mar 13, 2017 #61,345 HT 0:0 Herrera red card
fablo can JF-Expert Member Joined May 25, 2016 Posts 1,222 Reaction score 1,267 Mar 13, 2017 #61,346 SAVAGE AF said: That’s the spirit ila refa kazingua sana. Click to expand... Man u mmeharibu mpira wenyewe. Leo mou kawaelekeza mkacheze rafu tu.
SAVAGE AF said: That’s the spirit ila refa kazingua sana. Click to expand... Man u mmeharibu mpira wenyewe. Leo mou kawaelekeza mkacheze rafu tu.
Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Mar 13, 2017 #61,347 Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Reaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tu
Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Reaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tu
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 13, 2017 #61,348 Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera..
Rutashubanyuma said: Red card dhidi ya Herrera kwa faulo ya kwa Hazard ndiyo gumzo Click to expand... Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera..
fablo can JF-Expert Member Joined May 25, 2016 Posts 1,222 Reaction score 1,267 Mar 13, 2017 #61,349 RRONDO said: Refa kaharibu mechi. Mechi kama hizi Fergie alikuwa anasema inabidi zichezeshwe na strong referee! Click to expand... Rafu zenu hamzioni.
RRONDO said: Refa kaharibu mechi. Mechi kama hizi Fergie alikuwa anasema inabidi zichezeshwe na strong referee! Click to expand... Rafu zenu hamzioni.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,350 Hazard achanja mbuga huku Smalling akimkabili vilivyo
fablo can JF-Expert Member Joined May 25, 2016 Posts 1,222 Reaction score 1,267 Mar 13, 2017 #61,351 Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Endeleeni n.a. rafu sisi tunacheza boli
Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Endeleeni n.a. rafu sisi tunacheza boli
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 13, 2017 #61,352 fablo can said: Rafu zenu hamzioni. Click to expand... Mkuu umeangalia mpira? Njano ya kwanza ya Herrera umeiona?
fablo can said: Rafu zenu hamzioni. Click to expand... Mkuu umeangalia mpira? Njano ya kwanza ya Herrera umeiona?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,353 Herrera na yellow zake tata
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,354
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,355 Dirham said: Reaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tu Click to expand... Anaona ni uamuzi onevu kwa hiyo ni kicheko cha kumsaga refa
Dirham said: Reaction ya mourinho imekuwa tofauti sana naona anacheka tu Click to expand... Anaona ni uamuzi onevu kwa hiyo ni kicheko cha kumsaga refa
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,817 Reaction score 129,705 Mar 13, 2017 #61,356 fablo can said: Rafu zenu hamzioni. Click to expand... Siko hapa kishabiki.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,357 Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Hii gemu ilikuwa ni ya mashambulizi sasa refa kaigeuza na hii red card imekuwa mechi ya kuviziana kama gorrila warfares
Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Hii gemu ilikuwa ni ya mashambulizi sasa refa kaigeuza na hii red card imekuwa mechi ya kuviziana kama gorrila warfares
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,200 Reaction score 28,082 Mar 13, 2017 #61,358 Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Refa amekuwa mwepesi sana kitoa zile kadi.. Faulo ya kwanza hadi sasa sijaielewa.. Ila ndio mpira huo.. Naamini watarudi wakiwa na roho ya kukaza zaidi!
Transcend said: Hata faulo ya kwanza ni utata! Ukiangalia vizuri utaona intention ya Hazard kabisa... Alishatoa pasi tayari...na Herreza alikuwa amefocus kufuata mpira but on the spot Hazard anajigonga kwa Herrera.. Click to expand... Refa amekuwa mwepesi sana kitoa zile kadi.. Faulo ya kwanza hadi sasa sijaielewa.. Ila ndio mpira huo.. Naamini watarudi wakiwa na roho ya kukaza zaidi!
Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Mar 13, 2017 #61,359 Ushindi upo though tupo pungufu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 13, 2017 #61,360 fablo can said: Rafu zenu hamzioni. Click to expand... Acha ushabiki rafu zipi za kupewa red? Rashford kashikwa hakuna card sasa huoni?
fablo can said: Rafu zenu hamzioni. Click to expand... Acha ushabiki rafu zipi za kupewa red? Rashford kashikwa hakuna card sasa huoni?