Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa simkubali kabisa zlatan, si mfungaji wa kutegemea kabisa
 
Msiwe na was wasi sana naona kama tunashinda mpira dk 90
 
Hii mechi tukishindwa kushinda.... top four itakuwa kuna utata mkubwa kuifikia

Kwanini kila siku walio juu yetu wakiharibu badala ya sisi tutumie fursa hiyo kuwapita/kuwakamata, tunakuwa tunapoteza nafasi hiyo
 
Hii gemu doroo inanukia sana na litakuwa pigo kubwa kwa kuzipoteza hizi pointi
 
Ndio mpira jamani sizani kama kocha na wachezaji wanayapenda matokeo hayo
 
IBRA alikosa penati ndiyo mwanzo Wa kuachia pointi mbili bila sababu ya kimsingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…