Sikuiona haja ya kumtoa Rooney na kumuacha Zlatan uwanjani mtu ambaye kwa leo anaweza kula Red dakika yoyote na game limemkataa kabisa tangu first half..!! Dah
Manutd wakitaka kushinda hii gemu waongeze kasi kwenye winga na krosi za kushtukiza lakini hizi pasi tuuuuuu ni za dorooo maana wanawapa muda Wa kujipanga