Tuache kupanic mbona wanacheza vizuri tu hiyo penalty yenyewe ukiangalia Jones hajamgusa kabisa lakini ndio mpira, lakini we're playing good wachezaji wanashambulia, wanakaba speed kidogo wameongeza so tusiwe watu wakulaumu kwani hata wenzetu wamejipanga cheki kipa wao yupo fresh but so far so good
Tunakosa wachezaji kwenye njaa kama Costa. Joans amekosa confidence kabisa baada ya kusababisha penati. Mechi ni ngumu kwasababu tension IPO juu na refa anaweza kutoa kadi nyekundu zingine kipindi cha pili.