Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mwendo huu...droo inanukia. Kama mechi na Hull City.
 
Ilikuwa kona iliyopigwa na Mata wakaokoa mpira ukamfikia Rojo akapiga shuti nyavu zikalia
 
Nilianza kuwa na mashaka na kosakosa nyingi nikadhani labda Leo umegoma lakini tuko kifua mbele moja kwa nunge
 
Back
Top Bottom