Hebu amka inaonekana bado hujaelewa,the issue ni kwamba Giroud amefunga goli la kusawazisha zimebaki dakika 3 anapoteza muda kushangilia while angeweza kurudi mpira uanze wafunge goli la ushindi.Rooney alifunga goli akawa anakimbilia kati Stoke waanze mpira