Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Wewe ndio upunguze mihemko,kwanza mechi ni leo.
Pili,kuwa na msimamo sio mtafungwa mara mdroo mara nataka mumfunge Liver. Kuwa na msimamo usione aibu.
 
One step at a time. Few games ago we were 6th 10pts behind. You dont need to be rocket scientist to figure out we are in better position now. But hey, we see things differently.
 


chelsea hata achukue kombe mara 3 mfululizo kwangu bado hawez kunishtua wala kuumia mshindani wa kweli ni liverpool na arsenal hao wengine ni watu wa kutoa changamoto tu

toka alipoondoka mourinhob 2007 msimu ambao wanashiriki champions lig bas kwenye lig wanamaliza chini ya top 5 kwa hiyo ni lazima watoke kwenye champions lig ili wafanye vizur kwenye epl ni timu inayokuwa vizur pale inaposhirik vikombe vya ndani tu na efl hawapo wapo kwenye fa na epl tu.
 
Wewe ndio upunguze mihemko,kwanza mechi ni leo.
Pili,kuwa na msimamo sio mtafungwa mara mdroo mara nataka mumfunge Liver. Kuwa na msimamo usione aibu.


Ooooh bosi wengine tunaishi Honolulu bana...khe khe khe kheeeeeeee


Sijaongelea kufungwa kwa game ya kesho (leo)...natamani sana mumfunge (suala ni sijui kama uwezo wenu utaruhusu na kama ego ya Mourinho itakuwaje. Akimweka Fellaini ndani na Mata benchi lazima mfungwe).
 

Kiuhalisia Fellain awezi kuanza.
 

[HASHTAG]#excuses[/HASHTAG]

Kiuhalisia Fellain awezi kuanza.

Tukiongelea kiupenzi wa mpira, Mourinho hatabiriki.

Mimi huwa nina shida na ego yake. Ni kweli siku za hivi karibuni amekuwa a bit more humble but you can never say never on Mou. His ego costs him at times, most times!
 

Kikosi kinajulikana na ndio maana alimpumzisha Carrick mechi ya juzi. Mido watacheza Herrera-Carrick-Pogba. Hili halina ubishi.
 
Leo tunawapiga fimbo mbele ya wake zenu hapo hapo kwenu!....Mjiandae kisaikolojia
 


hakuna cha excuses


toka 2007 mou aliposepa ni lini chelsea akawa fom misimu miwili au mitatu?
 
...AGREE?


Yaani back four yote Liverpool? Haki ya nani aliyepanga hiki kikosi kama sio Liverpool die hard basi ni Man Utd great hater. Yaani Clyne Over Valencia??? Matip and Lovren over Rojo and Jones? Hapo nakubali Milner tu.
Afu Henderson over Pogba?? What is this dude smoked before coming out with this nonsensical nonsense??

Afu samahani, hivi Mata hivi karibuni amekuwa akiplay mid ya kulia au katikati??
This dude/dudes is/are lunatic.
 

Sounes alikua mchezaji wa Liver na ni shabiki wa Liver.
 

Mata anacheza kulia lakini anapenda sana kuingia katikati.
 
One step at a time. Few games ago we were 6th 10pts behind. You dont need to be rocket scientist to figure out we are in better position now. But hey, we see things differently.
Brother ni kama kusubiria embed chino ya mnazi achana nae uyo utajipa kazi
[HASHTAG]#ggmu[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…