itokee miujiza ya sh Yahya hussein, lakini Manu ni bingwa tayari hakuna sababu ya ref kukataa penalt ya everton leo kama mimi ndie Coach wa Everton natoa mkono kabisa kwa ref

Manu kweli wanabebwa wala sina kusikia kuwa wanajuwa mpira wala nini

Sawa...tumekusikia...unadhan kubebwa tumeanza leo ktk mechi hii na Everton?..poole.

manu wamebebwa sana tu wala hakuna kukataa hivi mpaka lini mtakuwa hivi ndio kwenye International mnakuwa mdebwedo

...HODI! napita tena,....mpo kimya sana humu, kunani leo? haya...nitarudi,...khe khe khe khee!
....Hodiiii! Mpo? haya, napita kuwasabahi tu,...khe khe khe!!!

Nyie ambao hambebwi kwenye intaneshno mko wap?..kam a hujui tunaelekea Wembley.
kudadeki ref