Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manure controversially win at west Ham as ref Dean harshly sends off Feghoul before Zalatan's offside goal is allowed .... .. nothing new there .... Brown envelopes working .... ... at its best.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nzi upo? Belo?
 
Acha tupumue kidgo, mark clitenburg, michael oliver na lee mason walituumiza sana, ila huyu jamaa anazichukia sana timu zinazotoka london
Mike Dean ndiye refa anayeongoza kwa kadi mkuu, huwa namuogopa sana akiwa anachezesha game yoyote ya man
 
Khe khe khe khe khe nilitegemea hili kutoka kwako.
 
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua EPL ilikuwa kitchen part ya Mama yake Mane.
Tunashindwa kuelewa hapo, baada ya kuanza kuitwa ligi kuu ya uingereza na kutoka ligi daraja LA kwanza mwaka 1992, Liverpool hajawahi chukua kombe LA ligi kuu toka kipindi hicho, wamechukua timu kama arsenal, Blackburn Rover's man utd Chelsea na Leicester
 
Kubebwa na mbeleko kubaya ona mapovu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanaisoma number khe he ke khe hekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tunaongelea mpira wa leo si ati hamjanyakua chijui mbuzi au kambale damn it! Mkitaka mambo ya historia nendeni Library .... ... losers.
 
Liverpool F.C. has won the League Title 18 times as of 2014, with the last one in the year 1989 to 1990. Its long-standing rival, Manchester United, is the only football club to eclipse this record with 20 League Titles.
 
Soma kwa prondo hapo
 
hahaha siku hizi hadi raha, mwe si nilipitiwa na usingizi nimeshtuka now nikaona nije niperuzi.

hongereni kwa ushindi sana, hatimae nasi tunaweza kutembea kifua mbele.
Ni kawaida yetu kuwa kifua mbele sema ndo vile transitions tu..
 
hahaha siku hizi hadi raha, mwe si nilipitiwa na usingizi nimeshtuka now nikaona nije niperuzi.

hongereni kwa ushindi sana, hatimae nasi tunaweza kutembea kifua mbele.
Hii ndio united ambayo Shabiki yoyote wa man u anataka iwe hata mkifungwa lakini timu imetengeneza nafasi na uhai mnauona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…