Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Yaah wame qualify katika kundi lao kuna ligi flan inahusisha timu za ulaya juzi kati waliwafunga spartak plugue na kutoka sare na Middlesbrough alkhamisi so wanaenda robo fainali .Hivi hii timu ya u23's tokea apewe Nick Butt imewai kushinda?
Y
Yaah wame qualify katika kundi lao kuna ligi flan inahusisha timu za ulaya juzi kati yaliwafunga spartak plugue na kutoka sare na Middlesbrough alkhamisi so wanaenda robo fainali .
Tumpe muda timu sio mbaya sana ila Warren ilikuwa maneno mengine jamaa alikuwa vizuri sana .Ndio wamequalify kwasababu walikua wanaitaji point 1 tu. Na chini ya Butt wameshinda mechi moja kati 6 walizocheza.
Naona uyu jamaa hatoweza kuiendeleza hiyo timu kama alivyoa Warren Joyce. Wangetafuta kocha mwngine Butt abaki kama na Cheo chake tu.
Tumpe muda timu sio mbaya sana ila Warren ilikuwa maneno mengine jamaa alikuwa vizuri sana .
Ukiachana na sean Goss na tuanzebe kidogo na Riley bado hatuna talent yakutosha mkuu, striking force yao sio nzuri, kuna akina Willock, Harrop, Redmond, McTominay, Sebtaoui hawa wanatakiwa waondoke wanabana tu nafasi,Wale vijana wa nick butt naona tuna hazina nzuri kule hupata muda wa kuwatizama na na burudika kweli na kuona huko mbele hatuta tetereka
Umemaliza kila kitu ndugu hao uliowataja ndio hata mimi muono wangu upo kwao nimejiwekea utaratibu wa kuangalia kweli chini ya 18 pana vijana wakipandishwa tutavuna vipaji ila kwa kuanzia na hawa wanne sio pabaya wakipandishwa japo wawili .Ukiachana na sean Goss na tuanzebe kidogo na Riley bado hatuna talent yakutosha mkuu, striking force yao sio nzuri, kuna akina Willock, Harrop, Redmond, McTominay, Sebtaoui hawa wanatakiwa waondoke wanabana tu nafasi,
Ila ukiangalia U18 ndio kuna vipaji haswaa ningependa kuona baadhi ya madogo wanakua promoted kwenda U23.
Ukiachana na sean Goss na tuanzebe kidogo na Riley bado hatuna talent yakutosha mkuu, striking force yao sio nzuri, kuna akina Willock, Harrop, Redmond, McTominay, Sebtaoui hawa wanatakiwa waondoke wanabana tu nafasi,
Ila ukiangalia U18 ndio kuna vipaji haswaa ningependa kuona baadhi ya madogo wanakua promoted kwenda U23.
Tatzo la willock ni umaliziaji wake na kutafuta mipira ikipotea, anaweza akakokota mpira vzr lakini cross zake zinakua ili mradi zimeenda.Mie nimevutiwa na Willock anajua sana kudrive mipira ingawa nimemuona game mmoja na Spata Prah
Hii ni official line up?asiye mwana kesho aeleke jiwe......................
hapana ila inahisiwa tu kesho tutajua hasa mata v. mkhi na martial v. ...................lingardHii ni official line up?
Arsenal yenyewe ni ya nne kwa kila kituMerry chrismass mancunians
Remember the following this xmas
1. Don't drink and drive
2. Don't be promiscuous
3. Don't over spend, Jan is coming
4. Arsenal
Hahahahhh the chosen oneMoyes vp naskia anakuja cjuikufanya nn