Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha na hata sikumstua nilikuwa nataka niisikilizie mechi kwanza....maana hawa WBA walikuwa wanatishia amani sana...... yaani zawadi tosha kwangu ...thanks Ibra.

Toa location wapi basi ya mnuso, na jinsi nilivyofulia miteremko{party} kama hizi siwezi kuzizembea kabisa lol

Tuje kusherehekea ushindi wa leo, na kupiga story za tofauti ya point 4 na timu iliyokuwa nafasi ya pili
 
Hahahaha njooo Goms huku uswazi kwetu full shangweee!! Njooo tupige kitu cha kazi!! Kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…