Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Karibu mkuu ktk Chama kubwa
 
Na vyote vipo mbali kwenu hahahaha.
Ofcoz vyote vipo mbali ila kwa kocha tuliyenaye hajawai kumaliza 2year bila kikombe popote alipoenda, so kombe lipo mlangoni mkuu. Kuthibitisha ilo miezi 18 iliyopita alikua bingwa wa EPL wakati Wenger ana more than 10years hafaham EPL trophy inafananaje, pengine Dan Webeck atawaonyesha Arsenal player EPL medal zinafananaje
 
Ila kwa alichoongea mourinho kweli hatuna bahat msimu huu kusibitisha hilo angalia arsenal alipo wa nne kishafunga mlango wa top 4 yeye tayar analinda hakuna kuingia mtu yupo sehemu yake salama kabisa sisi na spurs kaz tunayo.
 
Hahahahhh duuh Wenger kashafunga mlango pale, wallahi tutamtoa hata kwa burudoza pale
 
Manchester United Ni Dogo Mwenye Akili Za Kawaida Darasani ila Muongo Muongo Anaetegemea Chabo Na Kuiba Mitihani Tatizo Anaemfanya Aibe Mitihani Kesha Staafu Ndo Mana Now Anapiga F Kila Pepa Japo Kanunuliwa Vitabu Vipya Vilivyo Nje Ya Silabasi
 
Looserfool mnajipa moyo tu, ubingwa una wenyewe
 
Manchester United Ni Dogo Mwenye Akili Za Kawaida Darasani ila Muongo Muongo Anaetegemea Chabo Na Kuiba Mitihani Tatizo Anaemfanya Aibe Mitihani Kesha Staafu Ndo Mana Now Anapiga F Kila Pepa Japo Kanunuliwa Vitabu Vipya Vilivyo Nje Ya Silabasi
Deluded fan..
 
Mnajiona mna tiiimu, epl bado, mutaendelea kusaga meno, kwa timu pale ya kuchukua ubingwa?

Hebu Tofautisha Kati ya CHAMPION na TITLE CONTENDER ikisha ndiyo uropokwe...

Sisi Tunaojua Historical Background Ya Timu Yetu Especially 1988/89, 2008/9 na 2013/14 basi Hatuwezi Kutangaza UCHAMPION wala To Be TITLE CONTENDER.....
Bali Tunaclaim Kuwa Tunataka Kuincluded in Top 4 kama Ni Hatua Ya Mwanzo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…