Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niwaambie tuu kwa sasa arsenal ni kati ya timu ambazo ukikutana na ukitoka salama shukuru Mungu tena shukuru haswa
 
Tukielekea kwenye mechi ya Manchester Vs Arsenal kuna habari nyingi zinatokea. Moja ya habari kubwa ya leo ni kuhusu Wenger alivyomzungumzia mchezaji Rashford.

Akizungumza kwenye press kuhusu kikosi cha Manchester united, waandhishi wa habari walikua wana hamu ya kujua maoni ya Wenger kuhusu kutokuwepo kwa Zlatan. Lakini tofauti ya mategemeo Wenger alisema sema kwamba kwa Man United hatari haipo kwa Zlatan.

Arsene Wenger asema kwamba hatari ipo kwa kijana wa miaka 19 Marcus Rashford. ,“Tusisahau mwaka jana, kijana aliyetuua ni Rashford”. Kwa sentesi hiyo Wenger alionyesha kwamba wasi wasi wake haukua sana kwa Zlatan zaidi ya Rashford.


WASHALOA TAYARIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…