Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MAFANS WA MAN SOTE NATAKA TUJADIRI KWANINI TEAM YETU INAENDELEA KUFANYA VIBAYA KATIKA MICHUANO MBALIMBALI TATIZO LIKO WAPI NA TUFANYE KITU GANI TUTATUE MATATIZO HAYA YANAYOWAKUMBA TIMU YETU
 
Hakuna haja kuanzisha thread mpya wakato kjna thread maalum ya Man U. Mhariri, Invisible, tafadhali unganisha uzi huu na ule wa Man United
 
Utashangaa *Trump kashinda halafu watu wanamlaumu Pogba* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kuna Uzi mpya wa Man U?
Yes. Kuna mmoja alianzisha jana, nikawajulisha mods ili waunganishe na huu. Nashukuru wamefanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…