Cha kushangaza kwenye Msimamo uko chini ya kibonde wako....
Sasa sijui ni kibonde wa aina gani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu acheze nani sasa? Phil Jones? Mkuu tuna majeruhi hatariAache kuwachezesha blind na rojo beki za kati na kuwaamini sana lingard na rashford huenda akapata matokeo mazuri
Hicho ndicho pekee mnachojivunia [emoji23][emoji23][emoji23] kivuli
hebu tujikumbushe wadau
mpaka fainali 2008 ya uefa tulipigwa bao 3 tu mamaeeeee
Hicho ndicho pekee mnachojivunia [emoji23][emoji23][emoji23] kivuli
Ha ha ha ha aaaaaa
Photo shop
Ha ha ha ha aaaaaa
Habari iliyovujishwa: Swansea wametayarisha sindano ya ng'ombe ili kuwadunga majeruhi wote wa Man United ili wapone kwa haraka.Afu acheze nani sasa? Phil Jones? Mkuu tuna majeruhi hatari
Kabisana ndicho kinachotofautisha arsenal na manchester united kufikia level hizo itabidi mjukuu wa walcot afanye kazi ya ziada akianza kucheza mpira
Kesho saa 12:00man u lini leo au kesho?
Never say Never Liverpool probably thought they will never collapse like Nottingham Forest. Besides Sir Alex and David Gill are not around anymore to buy the trophies.
Never say Never Liverpool probably thought they will never collapse like Nottingham Forest. Besides Sir Alex and David Gill are not around anymore to buy the trophies.
Hata van gaal alinunua FA cup msimu uliopitaHivi serious kabisa...katika akili yako ya kimichezo na uzoefu wako wa kufatilia epl ukiweka ushabiki/upinzani wa jadi pembeni unaamini SAF na David Gill walikua wananunua ushindi...??