Relax bloods...no need to go loco....we still have 29 more games...disappointed, but my head is up...just ignore all the trolls and banters....[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG], [HASHTAG]#RedArmy[/HASHTAG] bring on Man Shitty...
Mourihno alitakiwa ampange carrick leo yule ni namba 6 in nature ndo maana kuna kipindi hata babu alikua anamtumia kama beki 4/5
Timu haijabalance leo kati ya viungo/beki na forward,beki imepwaya sana leo
Herera ni mzuri ila katika marking hayuko vizuri sana na pasi zake nyingi ni Square pasi/pasi za pembeni tofauti na carrick ana uwezo wa kulazimisha pasi za kwenda mbele
Owen hagrevas alisema ni zamu ya pirlo wa manchester/carrick kucheza na Pogba
Ukiangalia leo Chelsea amechezesha viungo wawili wakabaji wa asili kabisa/Kante na Matic
Pogba kapata kazi sana kwani ilibd afuate mipira nyuma na kuipeleka mbele.
Inabid tusajili namba mbili wa asili Valencia anazidiwa japo anajitaidi
It's appalling to see even 'dead meat' trying hard to show their presence...the kinda people who have no guts to even show their presences in their threads when losing...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]