Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu umeona kama mimi, huyu zlatan amekuwa shida sana kwa timu lakini bado mou hashughuliki nae. Anataka kutuaminisha kuwa bila yeye timu haifungi. Mtu anakaa karibu dakika 20 hajagusa mpira na anatembea tu uwanjani.

Niliwaambia wapenzi wa Manchester United wenzako wakaona mimi ni msaga na mkaanga sumu humu. Kuna watu hawataki au kujua constructive criticism humu. Sio kwa vile mtu hashangilii timu yako hawezi kusahihisha ubovu wa timu yako.
 
Ukitaka kujua wanajamiiforums wanavyopenda na kufuatilia mpira ni siku Man Utd wakiwa wanacheza na haswa wakiwa wanafungwa [HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…