Hivi kwa nini Mourinho hamgusi Zlatan, anamwogopa? Nasema tena kama nilivyosema last week jamaa(Zlatani) hafanyi lolote lakini bado anachezeshwa 90 minutes.
Mkuu umeona kama mimi, huyu zlatan amekuwa shida sana kwa timu lakini bado mou hashughuliki nae. Anataka kutuaminisha kuwa bila yeye timu haifungi. Mtu anakaa karibu dakika 20 hajagusa mpira na anatembea tu uwanjani.