Kosa kubwa kwa Mou,
Pogba ni namba nane haswa, Hererra ni namba sita haswa, hata huyu Fella ni namba sita pia. Herrera anafanya kazi yake vizuri, Fella anapwaya kumalizia kazi nzuri za Herrera. Matokeo yake Pogba anaonekana Garasa kwa kazi mbovu za Fella, Hii kazi ya Fella ndiyo kazi haswa ya Pogba, hutaki kumpa namba yake. mpe basi mtu wa kucheza naye (Mata)
Haya basi unachuki na Matta, mpe Mikit amalizie kazi ya Pogba akicheza nane. Kwa trend hii anayoendanayo Mou, Kila mchezaji ataonekana Mbovu humu ndani, hivi sasa hapa Ibra anaonekana garasa kwa kukosa mipira ya Pogba, Mpemba pia amejaa presha kwa kukosa link kati ya Herrera, Fella na Pogba.
Halafu huyu Lingard mechi kubwa zinamshinda, kwanini humwamini Martial???
Utaanza kuchokwa kabla ya mda wako!!