Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hahaaa hiyo ni kwa roho nyeupe kabisa ... mimi na wewe tena hata nafsi yangu ikichefukwa nasoma comments zako nilizo-screen shot napata furahaMbona kinyonge ?nikinjulie nafsi sema Hongera mpenzi kwa ushindi wa jana ongeza na makofi juu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji87] [emoji87] [emoji133] [emoji133] [emoji41]
Za Siku nyingi ndugu yangu?Acha tu ...kuna vitu naviweka sawa kule kutarudi enzi zake. Hongereni kwa ushindi wa jana
Duhhhhhh Siamini Leo Uzi wetu umekosa wasagasumu,daktari Leo la wasagasumu halijasainiwa......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushindi rahaaaa asikwambie mtu [emoji3] [emoji3]. ...... WaPo wapi Timu singeli ,wapi Timu kupondea ?wapi wasagasumu......... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nijichezee Mimi singeli wageni wamekimbia.... hapa kazi , kazi ,kazi ,kazi[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji443] Mourhnio kazi[emoji445] [emoji444] ,Pogba Kazi [emoji444] [emoji445] [emoji445], Martial Kazi kazi,[emoji444] [emoji443] ,Lingard Kazi kazi[emoji444] [emoji445] [emoji443] ,Herrera kazi kazi kazi[emoji444] [emoji445] [emoji443],Man U kazi ,kazi ,kazi kaziiiii[emoji444] [emoji445] .....[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ...... GGMU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya wewe nipake mafuta kwa mgongo wa chupa!!!Hahaaa hiyo ni kwa roho nyeupe kabisa ... mimi na wewe tena hata nafsi yangu ikichefukwa nasoma comments zako nilizo-screen shot napata furaha
Viatu kama navijua[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji113] [emoji113] [emoji113] ...... nakusalimu missing u much! !!Za Siku nyingi ndugu yangu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] uliviona wapi?Viatu kama navijua[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji113] [emoji113] [emoji113] ...... nakusalimu missing u much! !!
Salama kabisa ... naona siku hizi umekuwa siyo kada wa humu kabisaZa Siku nyingi ndugu yangu?
Majukumu aisee. Kuna kipindi fulani nilikuwa bize sana. Ila tupo pamoja.Salama kabisa ... naona siku hizi umekuwa siyo kada wa humu kabisa
Ni kweli kabisa sikufichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya wewe nipake mafuta kwa mgongo wa chupa!!!
Aiiiii weweeeee!!! Nimekununiaaaa !! Ndo nini kunitesa hivyo tunauliza weeeeeeee mpka basi? nilibaki kidogo nipeleke tangazo bango la TBC....... Njema kabisa nimefurahi sana kukuona tena [emoji7] [emoji7][emoji2] [emoji2] [emoji2] uliviona wapi?
Miss you my sister. Za masiku
Kumbe duuh, sasa nimerudi ila nimebatizwa nimekuwa mtu mpya.Aiiiii weweeeee!!! Nimekununiaaaa !! Ndo nini kunitesa hivyo tunauliza weeeeeeee mpka basi? nilibaki kidogo nipeleke tangazo bango la TBC....... Njema kabisa nimefurahi sana kukuona tena [emoji7] [emoji7]
Sawa mkuu ufanikiwe katika hilo....Majukumu aisee. Kuna kipindi fulani nilikuwa bize sana. Ila tupo pamoja.
Naona jumatatu bado kidogo tuwafunge[emoji23] [emoji23]
Hahahaaa me mwenyewe nilimtafuta hadi nikaambiwa kajibadili nadhani kama kamkimbia yule anayefanana nayeAiiiii weweeeee!!! Nimekununiaaaa !! Ndo nini kunitesa hivyo tunauliza weeeeeeee mpka basi? nilibaki kidogo nipeleke tangazo bango la TBC....... Njema kabisa nimefurahi sana kukuona tena [emoji7] [emoji7]
Huyu anajifanya yeye kawa bekiAsanteeeee[emoji8] ..... umemuona Bailly5? Mnapenda majina magumuuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Asante sana bro.Sawa mkuu ufanikiwe katika hilo....
Hahahaa mngetufunga ningejipa life ban
Hahaha centre-backHahahaaa me mwenyewe nilimtafuta hadi nikaambiwa kajibadili nadhani kama kamkimbia yule anayefanana naye
Huyu anajifanya yeye kawa beki
Hahaha poleni kwa kupata pacha ......Hahahaaa me mwenyewe nilimtafuta hadi nikaambiwa kajibadili nadhani kama kamkimbia yule anayefanana naye
Huyu anajifanya yeye kawa beki
Huyu mtu hatari sana...ukimwona, unaweza kumchukulia poa.Hahaha centre-back