Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leicester city timu ya kwanza kufuzu hatua ya mtoano uefa
 
unakana tena tafuta kwenye post yako kwamba "mashabik wa united wasitegemee mpira mzur ulipo wanaukuu" sasa huo si utabir? Kila game na plan yake

Duh nilikuwa sijui kuwa Kutegemea na Kutabiri vinamaanisha kitu kimoja. Itabidi nirudi shule ya msingi.
 
Duh nilikuwa sijui kuwa Kutegemea na Kutabiri vinamaanisha kitu kimoja. Itabidi nirudi shule ya msingi.


usichelewe uwah mapema shule unategemea kitu usichokuwa nacho au kukiona hizo si ndoto sasa au utabir na unachokitegemea kisipofanikiwa itakuwaje? Sivyo vyote unavyotegemea vikafinikwa wengi tulitegemea liver angeshinda lakin wap
 
Leicester city timu ya kwanza kufuzu hatua ya mtoano uefa
Wow ....natumai watafika mbali....na leo big match ni barca na man city......arsen8 tutakuwa tunachungulia matokeo tu.
 
Possession ya kwao man of the match ya kwetu.
Only two shorts on target sa muda wote huo walikua wanafanya nin na mpira
Hivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…