PRONDO usichoke kaka relax emb ifanye hiyo past participle iwe future participle kwa kumpiga liver leo na arsenal, i suwea nahamia man you na ntapiga picha na jersey original ya man u
rekodi ya refa Tyrol kwa liverpool ni mbovu huku akiwa amewapa kadi nyingi za njano kuliko maadui wao united, naona liver wameanza visingizio mapemaa kabla ya mechi
STRAIKA:ZLATAN IBRAHIMOVIC Superstaa zlatani ameanza maisha yake vizuri kwenye ligi ya england.ameshafunga magoli 4 tayari leo atakuwa ni mmoja wa washambuliaji atakayefanya maajabu na kuwapa homa mabeki wa liverpool.hata ivyo liver nao wanawaza jinsi ya kvmzibiti straika huyo