Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahaha hapa nlpo kaa Kuna watu wanaongea ujinga... Rashfod alvyo funga Kuna mjinga hapa anasema huyo mtoto ata kwenye harus ya dadake ajaenda kwaajil ya mpira dadake juz juz tu kaolewa.. Sa naumiza kichwa hapa dadake nan.. Hahaha ety Shamsafod
 
Hahaaa watu wajinga.
 
Jana kuna moja pogba kampasia ibra akanywa maji kisha akaunganisha ikapaa juu kidogo nyingine ibra kampasia rashford chumba na sebule dogo akakosa nyingine ibra kampeleke anakotagia kuku nyanda akacheza tungewapa wiki wale.
 
Nakawa man of the mach

Musianze Kujishauwa! Lesta Kwa Msimu Huu Sio Timu Ya Kujipima Ubora Wenu! Nyie Endeleeni Tu Kujipa False Hope Dhidi Ya Pogba na Kumpa Promo Kama Man of the Match! Still Haitowezekana Kuficha weakness Yake hata Kama leo Katupia Kamoja Lakini bado Utupiaji Wa Mechi Moja Hauwezi Kujudge Performance Yake Kuwa imeboreka Ukilinganisha Na Mechi Nyingi Alizoharibu (Poor Performance).
 



Kweli wewe kiazi kwa hiyo alipokuwa anachukua ubingwa hiyo timu liverpool hakuwepo kwenye hiyo ligi? Perfomans ya pogba inapimwa kwa kucheza na timu ipi?
 



Nakuletea huyo ili ujione bado wewe msaga sumu sio mtu wa mpira mmejaa wivu na roho mbaya huna hata level ya kisoka mmejaa kukosoa pumba tu


Neville said: "Pogba was instrumental in that first half. We look at the scrutiny on Wayne Rooney, but a lot of people are saying that for £90m on a central midfield player, you have to influence the game. Today he did.
 
 
Zlatan: "All the jealous people talking about Pogba will swallow every word they said about him. Because he'll only get better."




Haya yanatimia saiv leista ishakuwa timu ndogo naona mshaanza kufarakana zlatan alishamaliza kitu watu wa mpira wanajua mashabik wa mpira wa tanzania wameua timu yao ya taifa had vilabu vyao chonde chonde msihamie kwenye soka la wanawake leo mtu anakwambia leista sio timu ya kujipima nayo hiv mnafikiriaga wakat mnapost????????
 
Sijawah kukata tamaa juu yake
Nilijua ipo siku atawanyamazisha tu
Nilibishana na watu mpaka asubuh kwamba kwa labile hatujatupa pesa yetu ingawa wao wanadai tumemleta ili tuuze jezi
Na jana kaninyamazishia mashabiki uchwara huko kwa kupiga fantastic header
Nipeni ripoti huko mauzo ya jez baada ya lile bao mpaka muda huu
TEAM POGBA TUJUANE MAPEMA KWA KULIKE HAPA
 
Jana kuna moja pogba kampasia ibra akanywa maji kisha akaunganisha ikapaa juu kidogo nyingine ibra kampasia rashford chumba na sebule dogo akakosa nyingine ibra kampeleke anakotagia kuku nyanda akacheza tungewapa wiki wale.
Tunge
 
"At the end we will see"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…