Umeona eeh! Naona kuna karamu leo hapa isije kuwa sita tu au zaidi. MANU watafanya kweli maana wanajua haya magoli mbele ya safari yanaweza kuwa na umuhimu mkubwa sana.
Huhitaji kuwa na PhD kuelewa kwamba Mourinho alikuwa akikosea setup ya timu...leo kapata jibu...Pogba na Mata siyo wachezaji wa kuwabana kwenye positions zao...waache wawe huru ndiyo utaona umuhimu wao...lakini bila kusahau kumweka Anders, Morgan au Carrick kwenye namba 6...
Leo [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG] wanachungulia tu.....hivi yule mzee wa khe khe khe khe Wacha na mdogo wake Wacha1 wapo wapi?