Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aliyekuwa anasema Borussia Monchenburg ni timu kali nani?
 


Mnajaribu kumshusha thamani lakin hamtoweza kacheza game 4 tu kuna mechi zaid ya 34 sijui akiwafumua aseno mtakuja tena huku nlipokuwa naangalia mpira mech ya aseno na man united kuna alimdhihak rashford kipind wanaingi uwanjani wajua nn kilitokea::::::: akaja game na city wakasema atapita vip kwa mangala nn kilitokea muda ni kitu rafik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…